MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1215; Maamuzi Unayofanya Kwa Hekima…
Hatua ngumu kwenye maisha na mafanikio ni kufanya maamuzi. Kwa sababu unapofanya maamuzi, maana yake unakubali kuachana na mengine yote na kufanya kile ulichochagua kufanya au kufuata. Watu wengi hukwepa kufanya maamuzi kwa sababu wanaona kuacha mengine ni hatari kubwa. Kwa mfano kuingia kwenye biashara fulani ni maamuzi magumu kufanya