MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1216; Raha Leo Maumivu Kesho…
Ni asili ya binadamu kupenda raha, kupenda kile kinacholeta manufaa ya haraka kuliko kile ambacho manufaa yake yanachelewa. Lakini sheria ya asili ni hii, chochote kinachokupa raha leo, kesho kitakupa maumivu. Ni sheria ya asili, ambayo huwezi kubishana nayo na wala huwezi kuikwepa. Jaribu kuangalia mifano kwenye kila eneo la