MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1223; Lisha Unachotaka, Siyo Unachokwepa…
Iwapo timu mbili zitaingia uwanjani, moja ikaenda kwa lengo la kushindwa na nyingine ikaenda kwa lengo la kutokushindwa, timu yenye nafasi kubwa ya kushinda ni ile inayoenda na lengo la kushinda. Hata kwa wanaoangalia mchezo huo, watakaoburudika zaidi ni wale wanaoangalia mchezo wa timu inayokwenda kwa lengo la kushinda, na