UKURASA WA 1224; Hukuzaliwa Kufikia Kila Kitu, Kujua Kila Kitu, Kujaribu Kila Kitu…

By | May 8, 2018
Ugonjwa mkubwa wa siku hizi, zama hizi za mitandao ya kijamii ni hofu ya kupitwa. Watu wanataka kuwa kila mahali kwa kila wakati, kujua kila kinachoendelea na kutokupitwa na chochote. Ndiyo maana wengi wamekuwa watumwa wa mitandao hii ya kijamii. Tafiti zimekuwa zinaonesha kwamba watu wanagusa simu zao mara nyingi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KUTOKA KWA KOCHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz