MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1225; Kipaumbele Cha Kwanza Kwenye Maisha Yako…
Kinapaswa kuwa wewe, kinapaswa kujifanya kuwa bora kila siku unayoanza kuliko ulivyokuwa siku iliyopita. Kinapaswa kujifunza vitu vipya. Kinapaswa kuwa mbunifu zaidi kuliko siku zilizopita. Cha kwanza unachofikiria kufanya pale unapoamka, pale unapopata muda wa bure ambao huna cha kufanya, hicho ndiyo umekipa kipaumbele kwenye maisha yako. Sasa hebu chukua