MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1226; Kuyaelewa Maisha Na Kuyaishi Maisha…
Tunaweza kuyaelewa maisha kwa kuangalia nyuma, ni kwa kuangalia yale yaliyotokea ndiyo tunaweza kuelewa kwa nini yalitokea na matokeo yake yalikuwaje. Lakini hatuwezi kuyaishi maisha yetu kwa kuangalia nyuma, bali tunaishi maisha kwa kuangalia mbele. Hivyo tunayaishi maisha yetu kwa kuangalia mbele. Changamoto ya kuangalia mbele ni moja, hatuna uhakika