MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1229; Jinsi Ya Kutumia Nguvu Binafsi Kama Kipimo Cha Kipaumbele…
Una simu ambayo ina chaji asilimia 10, umeme umekatika siku nzima, halafu kuna simu ya muhimu sana unaisubiri, je unatumiaje ile asilimia kumi ya chaji iliyobaki? Je utaanza kusikiliza miziki au kuangalie video ulizonazo kwenye simu hiyo? Je utaingia kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kuperuzi, uone wengine wanafanya nini?