MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1232; Picha Ni Muhimu Zaidi…
Ukitaka kueleweka vizuri, ukitaka kushawishi watu wachukue hatua, ukitaka ujumbe wako ufike vizuri, picha ni muhimu zaidi kuliko maneno. Unaweza kutoa maelezo yenye kuonesha data na kile ambacho ni kweli, lakini watu hawapendi kusikia tu maelezo na kusikia ukweli. Watu wanataka kitu kitakachowahamasisha, kitakachowafanya wajione ni sehemu ya kile wanachosikiliza.