MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1233; Njia Mbaya Ya Kuondokana Na Maumivu…
Maumivu ni sehemu ya maisha, na kama falsafa nyingi zinavyotufundisha, maumivu tunatembea na kukutana nayo kila siku. Kinachotufanya tukue na kufanikiwa ni maumivu tunayokutana nayo. Watu wamekuwa wakitumia njia mbalimbali kutaka kuondokana na maumivu wanayokutana nayo. Lakini njia rahisi ambayo watu wamekuwa wanakazana nayo, imekuwa inazidisha maumivu badala ya kuyaondoa.