MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1234; Kwa Nini Mafanikio Yanaendelea Kuwa Siri…
Ukiona kitabu kimeandikwa siri kumi za mafanikio, utavutiwa kukinunua na kukisoma. Lakini ndani ya kitabu hicho, hutakutana na vitu vipya ambavyo huvijui. Zile unaambiwa ni siri, utakuta ni mambo yale yale ambayo unayafahamu. Kuwa na maono makubwa, kujitoa kufanya kazi, kuwa na nidhamu, kujifunza na kushirikiana na wengine ni mambo