MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1237; Hatari Ya Unachojua Na Usichojua…
Tumekuwa tunafikiri kwamba kinachotuzuia kufanikiwa na vile vitu ambavyo hatuvijui, hivyo kama tutajua vitu hivyo, kikwazo cha mafanikio kitaondoka. Ni kweli tusichojua ni kikwazo kwetu kufanikiwa, lakini pia tunachojua kinaweza kuwa kikwazo kikubwa zaidi. Na kwa wengi, kinachowazuia kufanikiwa siyo wasichojua, bali kile ambacho tayari wanajua. Unakuta kile ambacho mtu