MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1238; Wote Ni Wale Wale…
Kosa kubwa ambalo watu wengi wamekuwa wanafanya, ambalo linawazuia kufanikiwa kwenye chochote wanachofanya, ni kujumuisha mambo au watu. Kwa sababu mtu mmoja amesumbua au amekuangusha basi unachukulia watu wote waliopo kundi moja na mtu huyo hawafai. Kwa sababu umejaribu kitu kimoja ukashindwa, basi unachukulia vitu vingine vyote navyo vitashindikana tu.