MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1241; Njia Kuu Ya Kuiokoa Biashara Iliyopo Kwenye Changamoto Na Inayokaribia Kufa.
Kila biashara huwa inapitia changamoto mbalimbali. Baadhi ya changamoto zinaifanya biashara kuwa imara zaidi kwa sababu mfanyabiashara anajifunza na kuweza kupiga hatua zaidi. Lakini baadhi ya changamoto huwa zinakuwa kikwazo kikubwa kwenye biashara na kuiweka biashara kwenye hatari ya kufa kabisa. Hizi ndiyo changamoto ambazo wafanyabiashara wengi huwa wanaziogopa kwa