MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1242; Kama Watu Wanapata Wanachotegemea Kupata, Hufanyi Makubwa…
Mafanikio yako ni matokeo ya thamani unayoongeza kwa wengine. Kadiri unavyoongeza thamani kubwa ndivyo unavyojitengenezea mafanikio makubwa zaidi. Sasa changamoto ni moja, mara nyingi watu huwa hawajui wanataka nini mpaka pale wanapokipata. Kwa mfano kabla hatujawa na simu janja (smartphone) watu hawakuwahi kusema kwamba wanahitaji aina hizi za simu. Lakini