MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1256; Maumivu Ni Sehemu Ya Mchezo…
Maisha ni mchezo, na ili ufanikiwe kwenye mchezo wowote ule, lazima kwanza uzijue sheria za mchezo, ujue yapi unapaswa kufanya, yapi hupaswi kufanya, na yapi unategemea kupata. Moja ya sheria zisizosemwa za kila mchezo ni maumivu, kila mchezo una aina fulani ya maumivu. Ambapo mchezaji yeyote anayeshiriki mchezo huo, anajua