MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1257; Jiwekee Karantini Kwenye Maeneo Haya Muhimu Ya Maisha Yako…
Yapo magonjwa ya kuambukizwa, ambayo ni hatari sana, ambayo yanasambaa kwa kasi na kuua wengi. Njia pekee ya kukabiliana na magonjwa ya aina hii huwa ni kuweka karantini wagonjwa au wasio wagonjwa. Unaondoka kila namna ya ugonjwa kuweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine. Yapo maeneo ya