MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1258; Unapokosea Kwenye Kuwaelewa Wengine…
Umewahi kujiambia kwamba watu hawaeleweki? Kwamba ulitegemea wafanye kitu fulani halafu wao wakafanya kitu kingine tofauti kabisa? Ukweli ni kwamba siyo watu hawaeleweki, ila wewe ndiyo huelewi jinsi ya kuwaelewa watu. Kosa kubwa tunalofanya kwenye kuwaelewa wengine ni kujitumia sisi wenyewe kama kipimo cha kuwaelewa wengine. Kwamba kwa sababu sisi