UKURASA WA 1259; Upo Kwenye Upande Upi Wa Huu Mchezo Muhimu…

By | June 12, 2018
Maisha ni mchezo, najua unajua hilo, ila kukumbushana ni muhimu. Kila mchezo una sheria zake, ni muhimu kuzijua kabla hujaendelea na mchezo. Maana kuvunja sheria, hata kama  huzijui unapata adhabu kubwa. Sasa kuna hili muhimu sana kuhusu mchezo huu wa maisha, ambalo ni upande upi wa mchezo ambao umechagua kucheza.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz