MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1260; Usikimbie Uhalisia Wa Maisha…
Maisha ni magumu, lakini ni magumu zaidi ukiwa mpumbavu, hii ni kauli ambayo imebeba ujumbe mzito sana pale unapoielewa vizuri. Wapo watu ambao wanateseka sana kwenye maisha, lakini ukiangalia sehemu kubwa ya mateso yao inatokana na wao kukimbia uhalisia wa maisha yao. Watu wanatengeneza maumivu zaidi kwenye maisha yao, wakijaribu