MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1261; Jinsi Ya Kuchagua Watu Wa Kujihusisha Nao…
Watu ni changamoto kubwa kwenye mafanikio yako, Utahitaji watu wa kukusaidia kama wafanyakazi, lakini wengi watakusumbua. Utahitaji watu wa kushirikiana nao kwenye yale unayofanya, Lakini wengi watakuangusha. Utahitaji watu wawe wateja wa kile unachofanya au kuuza, Lakini wengi hawatakuja kama unavyotaka waje. Utafika hatua na kupoteza imani na watu, na