MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1262; Siyo Ugumu Wa Vitu, Bali Ulaini Wako…
Kwenye safari ya mafanikio, utakutana na kila aina ya ugumu, vikwazo na changamoto. Utapanga vizuri na kujua kila hatua ya kuchukua, lakini utakutana na ugumu, ambao utakufanya uone hakuna namna nyingine. Kinachowatofautisha wale wanaofanikiwa na wale wanaoshindwa, siyo magumu wanayokutana nayo, bali wao wenyewe. Kwa kuwa kila mtu anakutana na