MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KIPAJI PEKEE HAKITOSHI…
“Talent is insignificant. I know a lot of talented ruins. Beyond talent lie all the usual words: discipline, love, luck, but, most of all, endurance.” — James Baldwin Amka mwanamafanikio, Amka siyo tu kutoka kitandani, Bali Amka kutoka kwenye ndoto na nenda kaweke juhudi. Amka kutoka kwenye kuahirisha mambo na