MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1263; Usisimamie Vitu, Bali Dhibiti Vitu, Tawala.
Wanachofanya wengi, ni kusimamia vitu, kuvitumia kwa njia ambayo inafaa. Angalia watu wanachofanya kwenye biashara zao, wanachofanya kwenye muda wao, wanachofanya kwenye fedha zao na kwenye mambo mengine wanayofanya. Wanasimamia, wanafanya kile ambacho kinafaa kufanywa, kwa namba ambayo wamezoea kufanya. Lakini hivi sivyo watu wenye mafanikio makubwa wanavyofanya. Wenye mafanikio