MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; HUJAFANYA KITU…
Amka mwanamafanikio, Amka leo uende ukafanye kile ulichosema utafanya leo. Amka leo uende ukakamilishe kile ulichoanza lakini hukumaliza. Amka leo uende ukaanze kufanya kile ambacho umekuwa unasema utafanya. Amka sasa, na amka ukiwa na hamasa ya kwenda kufanyia kazi ndoto kubwa ya maisha yako. Ni siku mpya, siku nzuri na