MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1264; Simama Mbele Ya Kioo…
Unapokuwa na shaka na maisha yako, simama mbele ya kioo na utamwona mtu ambaye anapaswa kuyasimamia maisha yako. Unapokuwa na malalamiko au lawama, simama mbele ya kioo na utamwona mtu anayepaswa kubeba lawama na malalamiko hayo. Unapokuwa hujui nani atakusaidia kutoka hapo ulipo sasa, simama mbele ya kioo na utamwona