MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1265; Je Itasaidia?
Muda una ukomo na nguvu zetu zinakwisha haraka pale tunapozitumia. Hivi ni vitu viwili ambavyo vinatuzuia kufanya kila tunachotaka kufanya. Kwa sababu muda ukishapita na nguvu zikishaisha, hatuwezi kufanya tena, hata kama tunataka kiasi gani. Hivyo kama tunataka kupangilia vizuri maisha yetu, kama tunataka kupiga hatua, basi tunahitaji kutumia vizuri