MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1266; Hakuna Hasira Nzuri…
Hasira ni nusu ya ukichaa, unapokuwa na hasira kali, unakuwa huna tofauti na mgonjwa wa akili. Hii ni kwa sababu hasira ni hisia kali, na wakati wowote akili yako inapotawaliwa na hisia kali, unaacha kufikiri kwa kina. Hakuna hasira nzuri, hata kama mtu amekufanyia nini. Hii ni kwa sababu hasira