MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1267; Mbadala Ni Nini?
Moja ya uhuru mkubwa ambao tunapenda sisi wanadamu ni uhuru wa kuchagua. Tunapenda kuona kwamba tumechagua sisi wenyewe kipi cha kufanya. Hivyo tunapokuwa kwenye nafasi ambayo inabidi tufanye kitu kimoja, tunaona kama tumelazimishwa kufanya. Lakini vitu vikishakuwa viwili na kuendelea, hapo tunaona tuna uhuru wa kuchagua kipi tunachotaka kufanya. Ndiyo