MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1269; Gharama Halisi Ya Kuwa Mtu…
Tumezaliwa kama watu, binadamu ambao tunaweza kufikiri kwa kina na kubadili mazingira yetu, tofauti na wanyama ambao wanayapokea mazingira kama yalivyo. Lakini hatujawahi kuelezwa kwa kina ipi gharama halisi ya kuwa mtu. Gharama kubwa kabisa ya kuwa mtu ni hisia, tunapenda kufanya mengi kwa kutumia fikra zetu, lakini hisia zetu