MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1271; Nzuri Si Nzuri Tena…
Rafiki, kwenye kila eneo la maisha yetu, tunaweza kuvipanga vitu kwenye makundi manne. Bora, nzuri, kawaida na hovyo. Tukitaka tunaweza kuongeza makundi mawili zaidi, bora sana na hovyo kabisa. Lakini napenda tubaki na makundi hayo manne, ili tuweze kupanga vizuri hatua za kuchukua. Hovyo ni kitu ambacho hakipaswi kufanywa kabisa,