MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1272; Ndiyo Unaweza Kupata Vyote, Na Unapaswa Kupata Vyote…
Tofauti kubwa ya wale waliofanikiwa sana na wale ambao hawajafanikiwa ni kwenye fikra zao kuhusu kupata vile vitu wanavyotaka. Waliofanikiwa sana wanajua wanaweza kupata vyote, vile wanavyovitaka wanaweza kuvipata na hawajiwekei ukomo. Na hata kama hawapati mwanzoni, hawajiumizi kwa sababu hawajapata, bali wanaangalia wanawezaje kupata vyote, na hapo wanapata njia