MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1274; Siyo Kosa La Yeyote, Hivyo Chukua Hatua…
Ni kawaida yetu sisi binadamu, pale mambo yanapokwenda vibaya, tunapopata matokeo tofauti na tuliyotegemea, huwa tunaanza kuangalia nani kasababisha, nani kapelekea mpaka tukapata matokeo hayo. Huwa hatuamini kwamba sisi wenyewe ndiyo tunaweza kuwa tunahusika, kwa sababu tunapenda kupeleka lawama kwa wengine. Leo nataka kukukumbusha hili muhimu sana mwanamafanikio, siyo kosa