MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1275; Aina Tatu Za Watu Katika Mahusiano Na Utoaji…
Kuna aina kuu tatu za watu katika mahusiano na utoaji. Na katika aina hizi, kuna moja ambayo watu wanafanikiwa sana wakati nyingine mbili watu wanaishia kuwa kawaida na hata kushindwa kabisa. Aina ya kwanza ni wachukuaji, hawa ni watu ambao wanataka kupata vitu kutoka kwa wengine. Wanapenda kunufaika wao zaidi