MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1276; Fanya Kabla Ya Muda Uliokadiria…
Kuna makadirio mawili ambayo sisi binadamu hatujawahi kupatia kwa asilimia mia moja kwenye kukadiria. Makadirio hayo ni ya muda na fedha. Muda wowote utakaokadiria kufanya kitu, utahitaji zaidi ya hapo. Na kiasi cha fedha unachokadiria kutumia, utatumia zaidi ya hapo. Leo nataka tuzungumzie makadirio ya muda, hasa pale unapotaka kufika