MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1278; Ili Kesho Iwe Bora, Ifurahie Leo…
Kama kuna ndoto za alinacha, basi ni ile hali ya watu kuishi hovyo leo wakiamini kesho itakuwa bora sana. Ile hali ya watu kuichukulia poa leo, kutokana na changamoto mbalimbali wanazopitia, wakiamini kesho itakuwa nzuri zaidi. Sikiliza rafiki yangu, jinsi unavyoichukulia leo, ndivyo utakavyoichukulia kesho. Kwa sababu hata kama changamoto