MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1281; Kipi Kinaweza Kwenda Vibaya Zaidi?
Hili ni swali muhimu sana kujiuliza kwenye kila jambo unalofanya, swali ambalo litakuwezesha kujiandaa vizuri na pia kukuondolea hofu. Iko hivi rafiki, mambo mengi mabaya yanaweza kutokea kwenye chochote unachofanya. Ni uwezekano wa mambo haya mabaya kutokea ndiyo unawapa wengi hofu ya kujaribu vitu vipya. Kwa sababu wanafikiria kama mabaya