MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1282; Mambo Haya Hutokea Kwa Kila Mtu…
Kila mtu kuna wakati fulani kwenye maisha yake anafanya maamuzi ambayo baadaye yanakuja kuwa mabaya kwake. Kila mtu kuna wakati ambapo anaangushwa, anaahidiwa kitu fulani na hakitekelezwi kama kilivyoahidiwa. Kila mtu kuna wakati anakasirishwa na vitu au watu fulani. Kila mtu kuna wakati anashindwa kupata majibu sahihi ya anachohitaji, au