MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1286; Kukwama Kwako Hakumsaidii Yeyote…
Kuna wakati mtu unakwama kwenye kile ambacho unakuwa umepanga kufanya, unakuwa umefika kwenye hali ambayo unaona huwezi kupiga hatua tena. Na hili linaweza kuwa halisi au inawezekana unalitengeneza. Linakuwa halisi pale unapokuwa umechukua hatua na kukutana na changamoto ambayo inakuzuia kuendelea kama ulivyotaka kuendelea. Na inakuwa siyo halisi, yaani unakuwa