MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1287; Kulewa Kelele Na Kuogopa Utulivu…
Niambie katika hali kama hizi umekuwa unachukua hatua gani; Umeamka asubuhi na mapema, na huna ulichopanga kufanya kwa muda huo. Umeenda eneo ulilotakiwa kuwepo, labda kwenye mkutano au darasa, lakini tukio lililopaswa kuanza linachelewa kuanza tofauti na ilivyopanga, hivyo unakuwa na muda ambao huna cha kufanya. Unasafiri kwenda mahali na