UKURASA WA 1288; Ufanisi Siyo Kufanya Kila Kitu, Bali Kufanya Yale Muhimu.

By | July 11, 2018
Katika mambo kumi uliyopanga kufanya leo, mawili mpaka matatu ndiyo muhimu zaidi. Hii ina maana kwamba ukifanya hayo matatu, ukayafanya vizuri, huna hata haja ya kufanya yale 7 yaliyobakia. Kwa sababu umehimu wa mambo hayo matatu ni mkubwa kuliko yale mengine saba. Pamoja na hili, watu wamekuwa wanakazana kufanya mambo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz