MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1289; Je Umetumia Vizuri Kila Nafasi Iliyopo?
Popote ulipo na chochote unachofanya, zipo nafasi nyingi sana za kufanya kuliko ambavyo unaweza kuzitumia. Nafasi za kufanya kwa ubora zaidi ni nyingi, lakini wengi wamekuwa wanatuma nafasi na njia chache, zile walizozoea, zile ambazo wamekuwa wanaona wengine wakitumia. Ndiyo maana mtu anaponiambia ameshafanya kila kitu lakini hapati anachotaka huwa