MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Wakati Sahihi Wa Kupunguza Gharama Kwenye Biashara Yako Ni Huu…
Faida ndiyo kitu kinachofanya biashara iendelee kuwepo. Kama biashara haitengenezi faida, haitachukua muda mrefu, itakupa. Pamoja na kuweka juhudi kubwa kwenye kuongeza mauzo na mapato, sehemu kubwa inayopunguza faida ya biashara ni gharama za kuendesha biashara hiyo. Gharama za kuendesha biashara zinapokuwa kubwa, faida inakuwa ndogo au hakuna kabisa. Hivyo