MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Biashara Yako Inapaswa Kumpatia Mteja Fedha Zaidi…
Mtazamo ambao unao kwenye biashara unayofanya, ni moja ya vitu ambavyo vitaifanya biashara hiyo ifanikiwe sana au ishindwe kabisa. Hata kama utafanya kila kinachopaswa kufanya, kama mtazamo siyo sahihi, bado biashara haitapata matokeo makubwa. Mtazamo ambao mfanyabiashara anao huwa unakuwa kikwazo au kichocheo kikubwa kwa mafanikio ya biashara hiyo. Kuna