MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1293; Ukichelewa Ni Bora Hata Usifike Kabisa…
Wahenga walituambia ni bora kuchelewa kuliko kutofika kabisa. Na hata kwenye jamii zetu, imekuwa ni kawaida kuchelewa sehemu fulani, kuliko kutokufika kabisa. Hilo linaweza kuwa sahihi kwenye maisha ya kawaida, kwenye mahusiano na ahadi mbalimbali. Lakini inapokuja kwenye swala la mafanikio, inapokuja kwenye hatua z akuchukua ili kufanikiwa, muda ndiyo