MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Mpe Mteja Machaguo Mawili…
Kikwazo namba moja kwenye mauzo katika biashara nyingi ni mteja kukosa machaguo zaidi wakati ananunua. Mteja anaweza kuja kwenye biashara yako, akiwa na shida au uhitaji fulani. Wewe kama mfanyabiashara ukamweleza na kumpa kile ambacho unaona kinamfaa. Sasa utafanya kosa kubwa sana, kama utampa kitu kimoja tu. Maana wakati wote