MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 1296; Badala Ya Kupoteza Muda Kukazana Kuwabadili Watu, Fanya Hivi…
Kwanza kabisa futa dhana kwamba unaweza kuwabadili watu, huwezi, hiyo ni kazi ngumu sana unayoweza kujipa kwenye maisha yako. Hata kama watu watakuahidi kubadilika, bado siyo wewe utakaowabadili, ila watabadilika wao wenyewe. Nakukumbusha hili kwa sababu watu wengi sana wameingia kwenye matatizo, watu waliamini wenzao watabadilika, lakini wanakuja kugundua hawawezi