BIASHARA LEO; Maeneo Sita Unayopaswa Kuwa Sahihi Kwenye Biashara Yako.

By | July 21, 2018
Mafanikio kwenye biashara siyo kitu kigumu kama wengi wanavyofikiri. Ni kujua kanuni sahihi ya mafanikio ya biashara yako, kisha kuifanyia kazi huku ukiwa na subira na uvumilivu. Wengi wanaoshindwa kwenye biashara wanakosa kanuni sahihi ya kufanyia kazi au wanakosa subira na uvumilivu. Na kwa kuwa mafunzo ya biashara ni mengi,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz