UKURASA WA 1298; Mabishano Hayajawahi Kuleta Mabadiliko…

By | July 21, 2018
Mabadiliko yanatokea pale mimi na wewe tunapochukua hatua ya kufanya vitu kuwa bora zaidi ya vilivyo sasa. Kwa kuchukua hatua, kufanya kitu, kuweka juhudi zaidi, kuweka muda zaidi, kuweka ubunifu zaidi na kuweka umakini zaidi kwenye chochote tunachofanya. Hakuna mabadiliko ambayo yamewahi kutokana na mabishano, maneno pekee hayabadili chochote, hata

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz