MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
BIASHARA LEO; Usiwapoteze Wateja Wako Kirahisi Hivi…
Zipo njia nyingi sana za kuwapoteza wateja kwenye biashara yako. Na kwa njia zote, wewe mwenyewe ndiye unayechagua kuwapoteza wateja. Kuna mambo unakuwa umefanya au kutokufanya, ambayo yanachangia wateja kuondoka kwenye biashara yako. Japokuwa njia nyingine ni ngumu kwa upande wako, yaani zikishaanza unaweza usiweze kuzuia kwa haraka, zipo njia