UKURASA WA 1299; Kamwe Usishushe Kiwango…

By | July 22, 2018
Unapofikiria kupata mafanikio makubwa kwenye maisha yako, unaanza kwa kujiwekea malengo na mipango mikubwa sana. Unajiwekea malengo makubwa kiasi kwamba watu wa kawaida wakiyasikia wanaona labda umechanganyikiwa, au hujui unachofanya. Lakini kwa kuwa wakati huo unakuwa na hamasa kubwa, huwasikii sana na unajua hakuna linaloshindikana. Ni pale unapoanza kufanya ndiyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz